07-01-2025

NÉCROLOGIE

Ni kwa huzuni tuna watangazia kifo cha Mchungaji mstaafu KAMBERE KARAMBIKA Élysée, toka Poste CBCA Bwatsinge, akiwa tena moja ya waanzilishi wa Isharika CBCA Kirumba.

Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao. • Ufunuo 14,13

0 commentaire(s)

Aucun commentaire pour l'instant...

Laissez un commentaire