03-07-2023

Tanzania inaendelea kuombea kurejeshwa kwa amani nchini DRC

Ni Kauli hii imetolewa Jumatatu hii Julai 3, 2023 na ujumbe wa maaskofu wa Tanzania kwenye misheni ya tathmini mjini Goma katika Kanisa la CBCA.

Maaskofu hawa wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri la Tanzania (KKKT) waliwasilisha ustaarabu wao kwa Gavana wa Kijeshi wa Kivu Kaskazini, ofisini kwake. Askofu Dk Alex MALASUSA anasema anafuraha kwa sababu ziara yao ya mshikamano na huruma kwa ndugu wa Kongo ni utume uliokamilika.

Kwa Askofu Dr ABEDNEGO KESHO MSHAHARA, matumaini ya kurejea kwa amani nchini DRC yanaelekea ukingoni.

Wajumbe hawa wa UEM (United Evangelical Mission) walioongozwa na Prezidenti Kiongozi wa Kanisa la CBCA, Mchungaji Dkt. Jonathan KAVUSA KIVATSI wamerudi wakiwa wameridhika na ukaribisho waliotengewa na Gavana wa Kivu Kaskazini, Luteni Jenerali NDIMA KONGBA Constant.

0 commentaire(s)

Aucun commentaire pour l'instant...

Laissez un commentaire