09-06-2025

Asante kwa kuendelea kuombea kazi ya Bwana ili injili ienee eneo zote kwa watu wote.

Leo kwa kanisa la CBCA Kitsombiro, Wachungaji, wa Evangelistes Stagiaires, wa Évangélistes Responsables na wazee wamoja wa ma kanisa kutoka Poste nzima, wamemaliza Formation kuhusu « équipe mobile d’évangélisation ».

Asante kwa kuendelea kuombea kazi ya Bwana ili injili ienee eneo zote kwa watu wote.

0 commentaire(s)

Aucun commentaire pour l'instant...

Laissez un commentaire